Posts

JINSI YA KUJIFUNZA KUTENGENEZA TANGAZO KUTUMIA GRADIENT KATIKA ADOBE PHOTOSHOP

                    #BADO NI MAPEMA NA HAUJACHELEWA KUWA GRAPHIC DESIGNER Katika swala hili la graphics design ni jambo ambalo linahitaji uelewa na utulivu pia jambo muhimu ni ubunifu wako hivyo bas kuleta mawazo(idea) tofauti na kutengeneza au kuboresha kitu kilichowahi kutengenezwa au kuwepo kabla hujatengeneza, sio jambo baya ila ni njia ya kujifunza na kuelewa upo katika uwezo gani na ubunifu wako, hivyo basi bila kuchelewa na kufanya mambo yawe mengi hahaha...! embu tuanze Kwanza unatakiwa uwe na program ya Adobe photoshop kisha fungua,Pili unatakiwa utengeneze faili lako jipya kwa kwenda kwenye create new/ unaweza kwenda kwenye file na kubonyeza new      Pia tatu utakutana na file jipya lililofunguka na litakuwa na jina la "untitled" ila ntaandika "mfano" ambapo apo utatakiwa ujaze taarifa zozote kuhusiana na aina gani ya kazi unataka kutengeneza  yangu itakuwa kama ifuatavyo apo chini N...

#DESIGN WITH ME