#BADO NI MAPEMA NA HAUJACHELEWA KUWA GRAPHIC DESIGNER
Katika swala hili la graphics design ni jambo ambalo linahitaji uelewa na utulivu pia jambo muhimu ni ubunifu wako
hivyo bas kuleta mawazo(idea) tofauti na kutengeneza au kuboresha kitu kilichowahi kutengenezwa au kuwepo kabla hujatengeneza, sio jambo baya ila ni njia ya kujifunza na kuelewa upo katika uwezo gani na ubunifu wako, hivyo basi bila kuchelewa na kufanya mambo yawe mengi hahaha...! embu tuanze
Kwanza unatakiwa uwe na program ya Adobe photoshop kisha fungua,Pili unatakiwa utengeneze faili lako jipya kwa kwenda kwenye create new/ unaweza kwenda kwenye file na kubonyeza new
Pia tatu utakutana na file jipya lililofunguka na litakuwa na jina la "untitled" ila ntaandika "mfano" ambapo apo utatakiwa ujaze taarifa zozote kuhusiana na aina gani ya kazi unataka kutengeneza
yangu itakuwa kama ifuatavyo apo chini
Nne unaweza kutengeneza faili lako kupitia pixel, inches,centimeters na n.k ila mimi ntatumia inch 15*15 na resolution 72 na color ni transparent/ ila kama unataka kuprint kazi yako
utatakiwa kutumia CMYK color na ntatumia 8 bit na color ntatumia transparent alafu uta click create
Alafu itakuleta katika working space ambayo utaona file lako na sehemu ya kufanyia kazi(uwanja wa kazi)/ backgrund kama hapo juu
ntachukua picha yangua ambayo tayari nishaiyandaa katika pc yangu na ntaiweka katika background yangu kwa kuingia ktika file na kwenda kubonyeza place embedded kisha utaenda mahala ulipo ifadhi picha yako na kubonyeza kama hapo juu nikiwa tayari nishaiweka.
Kisha baada ya kuweka picha yako utatengeneza(create new layer) uta ipajina ambalo ni Gradient ambapo apo utabidi ubonyeze G ili kupata gradient tool kama kifupisho chake au nenda kwenye gradient
alafu select gradient tool alafu ipake gradient kutokana na unavyotaka itokee katika picha yako na yangu ni hivi
Alafu andika na kupanga maneno kulingana na wew unavyotaka ila mimi ntatumia haya
-Bado ni mapema, kuwa graphics deigner, na hujachelewa, jifunze jinsi ya kutengeneza tangazo kwa lugha ya kiswahili kupitia adobe photoshop kisha nta place embedded logo ya adobe photoshop kama hapo chini
Na kazi yetu ni hii baada ya kuhifadhi kwa mfumo wa picha.(JPE)








Kaka up visiting nakubali sana kazi yakov kiongozi
ReplyDeleteAMINIA BLOOD #KIBACHOLI
ReplyDeleteKaka Kazana piga KAZI Kijana wkirisha TANZANIA
ReplyDeleteActually we love you with your works
ReplyDeleteThanks guys
ReplyDelete